28 Oct 2025 10:28 am | Citizen TV 412 views Duration: 1:58 Wazazi katika kaunti ya Kwale wametakiwa kuwa waangalifu kwa watoto wao wakati huu wa likizo ndefu ili kuepuka mimba za utotoni, unywaji wa pombe na dawa za kulevya.