Skip to main content
Skip to main content

Shughuli za posta zakwama, wafanyakazi wakidai mishahara Kitale

  • | Citizen TV
    263 views
    Duration: 1:43
    Hali ya sintofahamu imezidi kutanda katika ofisi za Shirika la Posta mjini Kitale, baada ya wafanyakazi kususia kazi kwa siku ya pili mfululizo wakilalamikia kutolipwa mishahara yao kwa zaidi ya miezi saba sasa.