- 3,536 viewsDuration: 5:40Rais William Ruto anaendelea na ziara yake ya ufunguzi wa miradi ya maendeleo katika kaunti ya Nakuru kwa siku ya pili leo. Rais ameanza siku kwa kukutana na baadhi ya viongozi na wakazi wa kaunti hiyo kwenye mkutano wa faragha katika ikulu ndogo ya Nakuru