28 Oct 2025 12:08 pm | Citizen TV 1,072 views Duration: 25:55 Je, miungano ya kisiasa huchochea mapendeleo? Baadhi ya maeneo hupewa umuhimu kuliko mengine Je, utawala wa Rais Ruto umebagua maeneo kisiasa? Gavana wa Nyeri alisema Mlima Kenya umebaguliwa