Zaidi ya wanawake 500 kaunti ya Makueni wapokea mafunzo ya kuendesha biashara na kujiimarisha

  • | Citizen TV
    235 views

    Zaidi ya wanawake mia tano kaunti ya makueni wamepokea mafunzo ya kuendesha biashara na kujiimarisha. Wanawake hao pia wametakiwa kuchukua mikopo kutoka kwa serikali ili kuendeleza biashara zao.