Waandishi wa habari waitaka serikali kusaidia mashirika yanayowatunza watoto mayatima

  • | Citizen TV
    259 views

    Chama cha waandishi wa habari kaunti ya Kitale kinaitaka serikali kusaidia mashirika yanayowatunza watoto mayatima nchini ili yaweze kuwapatia malezi bora na mazingira salama.