Katibu katika wizara ya jinsia Anne Wangombe asema ukatili dhidi ya wanwake waaendelea kuongezeka

  • | Citizen TV
    126 views

    Katibu katika wizara ya jinsia Anne Wangombe ameeleza kuwa ukatili dhidi ya wanwake unaendelea kuongezeka nchini. Akizungumza Katika shule ya upili ya wasichana ya Ngaru kaunti ya Kirinyaga, Wangombe amewahimiza wazazi kuwa kwenye mstari wa mbele kuwachunga wana wao hasa watoto wa kike.