Biashara I Kenya imepata hati ya Euro ya thamani ya shilingi bilioni 195

  • | KBC Video
    48 views

    Kenya imepata hati ya Euro ya thamani ya dola bilioni 1.5 sawa na shilingi bilioni 195 ambazo zitatolewa katika miaka ya 2034, 2035 na 2036, kama sehemu ya mkakati wake wa kudhibiti madeni yake. Waziri wa fedha John Mbadi amesema sehemu ya fedha zitakazopatikana kutoka kwa bondi ya Euro ya mwaka 2036 zitatumika kulipa madeni yaliyoko ya serikali ikiwemo malipo ya dola milioni 900 za bondi ambayo muda wake utakamilika mwaka 2027. Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive