Magatuzini I Madereva wawili wajeruhiwa baada ya magari kugongana kwenye barabara kuu ya Waiyaki

  • | KBC Video
    40 views

    Madereva wawili walijeruhiwa baada ya magari kugongana dafrao kwenye barabara kuu ya Waiyaki katika kaunti ya Nairobi leo. Ajali hiyo iliyosababisha msongamano mkubwa wa magari ilihusisha magari mawili ya kibinafsi yaliyogongana karibu na kituo cha kulipia magari yanayotomia barabara ya Expressway karibu na Museum Hill. Hizi na habari kedekede ni katika mkusanyiko wa dira ya kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive