Wakfu wa Safaricom wajenga madarasa na maabara katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    265 views

    Wadau wa elimu nchini wameibua wasiwasi kuhusu ubovu wa miundombinu katika shule nyingi nchini wakitaka ushirikiano kati ya serikali na taasisi za kibinafsi ili kuboresha miundombinu ya taasisi ya elimu.