Bunge nyamira : Vikao vyarejelewa

  • | KBC Video
    13 views

    Bunge la kaunti ya Nyamira limeanza rasmi vikao vyake baada ya likizo ya miezi mitatau kufuatia utata ulioghubika kungátuliwa mamlakani kwa spika wa bunge hilo Enock Okero. Okero ambaye alirejeshwa mamlakani na mahakama amehusisha kuahirishwa kwa vikao vya bunge na vurugu iliyoshuhudiwa mnamo tarehe 8 mwezi Oktoba mwaka jana. Aliangazia bajeti ya kaunti na mwongozo wa bajeti ya serikali ya kaunti kama masula yatakayopewa kipaumbele katika bunge hilo na akawahakikishia wakazi kuwa utoaji huduma ,ambao ulikuwa umevurugwa na malumbano ya kisiasa , utaendelea bila matatizo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive