Raila Odinga aitaka serikali kuwajibikia maswala ya kimsingi yanayowasibu wakenya

  • | Citizen TV
    2,356 views

    Kinara Wa Odm Raila Odinga Ameitaka Serikali Kuwajibikia Maswala Ya Kimsingi Yanayowasibu Wakenya, Haswa Kuhusu Gharama Ya Maisha Na Bima Mpya Ya Afya. Aidha, Raila Ametaka Serikali Ya Rais William Ruto Kuweka Mikakati Ya Kutosha Kukabili Ufisadi. Alizungumza Mjini Mombasa Alipokutana Na Viongozi Kutoka Mombasa, Kwenye Vikao Vyake Vya Kutafuta Maoni Kuhusu Ushirkiano Wake Na Serikali