- 2,655 viewsMwandishi wa Habari wa VOA Misha Komadovsky alirekodi malumbano makali kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy wakiwa Ofisi ya Oval, White House Februari 28, 2025. Mkutano wa White House kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ulikuwa na lengo la kufikia makubaliano ya kuiruhusu Marekani fursa ya kupata madini adimu na uligeuka malumbano makali kati ya viongozi hao na Trump alimueleza Zelenskyy, “ Ama utafikia makubaliano au sisi tunajitoa.” Katika taarifa kwenye mitandao ya kijamii baada ya mkutano huo, Trump aliashiria kuwa pendekezo la makubaliano limevunjika. “Nimegundua kuwa Rais Zelenskyy hayuko tayari kwa amani iwapo Marekani itahusishwa kwa sababu anahisi ushiriki wetu unampa fursa kubwa katika mashauriano,” Trump aliandika. Kufuatia ziara hiyo, Zelenskyy alibandika katika mtandao wa X: “Ahsante Marekani, nashukuru kwa msaada wenu, ahsante kwa ziara hii. Ahsante @POTUS. Bunge la Marekani, na watu wa Marekani. Ukraine inahitaji amani ya kudumu, na sisi tunalihangaikia hilo.” #trump #zelenskyy #ukraine #russia #voa
Nini kilitokea katika mkutano wa Rais Trump na Zelenskyy?
- 30 Apr 2025 - Kenya’s revised foreign policy is designed to address the interests of citizens and reposition Kenya's foreign engagements on the dynamic global landscape, Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has said.
- 30 Apr 2025 - President William Ruto’s State Visit to China saw more than 20 trade agreements and memoranda of understanding signed, that aim at improving various sectors of the economy.
- 30 Apr 2025 - The Climate Reality Project, a climate-focused nonprofit founded by former U.S. Vice President Al Gore, is set to host an in-person training event in Nairobi in June.
- 30 Apr 2025 - President William Ruto has praised the increased contributions to the National Social Security Fund (NSSF) as a step toward the country’s financial security.
- 30 Apr 2025 - Hungary's Foreign Minister presented a bill to the National Assembly proposing Hungary's formal withdrawal from the ICC.
- 30 Apr 2025 - Suspects of different nationalities came together to defraud victims.
- 30 Apr 2025 - According to the University’s Vice Chancellor Prof Deogratius Jaganyi, the program dubbed as Africa meets Bavaria, is aimed at fostering a vibrant research culture among students.
- 30 Apr 2025 - Ruto congratulated Chitunga and assured him of government support.
- 30 Apr 2025 - Ruto's surprise appearance at the Vatican despite sending Wetangula caused a buzz online.
- 30 Apr 2025 - According to lawmakers, while the volume of money staked by punters has been steadily rising,reflected in a sharp increase in excise duty collections, taxes from winnings have paradoxically declined.