- 101 viewsMashamba ya kahawa katika Kaunti ya Nzara, Sudan Kusini, yako katikati ya juhudi za kuifufua sekta ya kahawa ambayo ilikuwa imefifia. Wakulima wanageukia mbinu ya Excelsa aina nadra ya utunzaji wa kahawa inayostahmili mabadiliko ya hali ya hewa, wakati huu wa changamoto za hali ya hewa na ukosefu wa kahawa kwa wingi duniani. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wakulima Sudan Kusini wafufua kilimo cha kahawa kwa kutumia mbinu ya Excelsa
- - Duniani Leo ››
- - Local news roundup ››
- 16 Jun 2025 - Residents of Elgeyo Marakwet County are raising alarm over a growing shortage of condoms, a situation that has been blamed for a spike in new HIV infections. According to Professor Sylvester Kimaiyo, Chief of Party at the Academic Model Providing Access…
- 16 Jun 2025 - Kenya’s current wave of anger, particularly among Gen Z and civic voices, reflects a complex intersection of unresolved grievances, State overreach, and symbolic political moments. Recent weeks have revealed a sharp escalation in public outrage through…
- 16 Jun 2025 - Here is what you need to know to keep up to speed with today’s happenings. Gachagua Former Deputy President Rigathi Gachagua is set to appear on Kameme FM and Kameme TV, where he is expected to discuss Kenya’s nationhood and address recent tensions,…
- 16 Jun 2025 - Rescue operations are ongoing in the Kambi Karaya area of West Pokot County following the collapse of a gold mine. According to police reports, one body has been recovered, while several others remain unaccounted for. The incident was reported at Marich…
- 16 Jun 2025 - APS Bomet FC have secured promotion to the FKF-Premier League after being awarded a 2-0 victory over Kibera Black Stars following the chaos that led to the abandonment of their decisive match at Nairobi’s Jamhuri Grounds. Points from the match have…
- 16 Jun 2025 - Official says Iran appealed to Oman and Qatar to engage the US to broker a ceasefire.
- 16 Jun 2025 - The Iranian death toll in four days of Israeli strikes had reached at least 224, with 90 per cent of the casualties reported to be civilians.
- 16 Jun 2025 - Assassination of Kasipul MP Ong’ondo Were, death of teacher Albert Ojwang’ and ODM’s internal rebellion have shaken the foundation of Ruto-Raila pact.
- 16 Jun 2025 - President Donald Trump on Sunday, June 15, 2025, directed federal immigration officials to prioritize deportations from Democratic-run cities, a move that comes after large Protests erupted in Los Angeles and other major cities against the Trump…
- 16 Jun 2025 - When it heavily rains in Nairobi and major cities across Kenya, lives get submerged in water. Commuters wade through knee-deep flooded roads to catch buses to the next destination, and homeowners in various urban settlements assess the damage to their…