“Tumegundua dola milioni nane kwa ajili ya LGBTQI+ Lesotho"

  • | BBC Swahili
    827 views
    “Tumegundua dola milioni nane kwa ajili ya kuhamasisha mahusiano ya jinsi moja yaani LGBTQI+ katika taifa la Lesotho, ambalo hakuna mtu aliyewahi kulisikia,” Serikali ya Lesotho pamoja na raia wake wameshangazwa na kauli ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwamba “hakuna aliyewahi kusikia kuhusu” taifa la Lesotho, lililopo Kusini mwa Afrika. Aliitaja nchi hiyo alipokuwa akieleza hatua za kupunguzia matumizi yasiyo ya lazima na kusema kuwa #bbcswahili #lesotho #lgbtqi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw