- 1 viewsWaumini wa kanisa katoliki wamekuwa na hisia mchanganyiko baada ya kusikia sauti ya Papa Francis leo Ijumaa, kwa mara ya kwanza tangu alipolazwa hospitali, mwezi Februari. Sauti ya Francis, iliyorekodiwa jana Alhamisi, ilichezwa kwa waumini waliokusanyika kwenye bustani ya Mtakatifu Petro, kwa maombi. Vatican imesema Papa Francis mwenye umri wa miaka 88 amekuwa na usiku mtulivu na amelala salama, aliamka baada ya saa mbili asubuhi Ijumaa. Madaktari wamesema hawatarajii kutoa ripoti ya hivi punde kuhusu afya ya Papa, hadi kesho Jumamosi, kwa sababu hali yake ni thabithi na kwamba hana matatizo ya kupumua au matatizo mengine kwa siku kadhaa sasa. #voaswahili #afrika #papafrancis #katoliki #bustani #mtakatifupetro #maombi #furaha #huzuni
Sauti ya Papa yaleta furaha na huzuni katika Bustani ya Mtakatifu Petro
- 30 Apr 2025 - Kenya’s revised foreign policy is designed to address the interests of citizens and reposition Kenya's foreign engagements on the dynamic global landscape, Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has said.
- 30 Apr 2025 - President William Ruto’s State Visit to China saw more than 20 trade agreements and memoranda of understanding signed, that aim at improving various sectors of the economy.
- 30 Apr 2025 - The Climate Reality Project, a climate-focused nonprofit founded by former U.S. Vice President Al Gore, is set to host an in-person training event in Nairobi in June.
- 30 Apr 2025 - President William Ruto has praised the increased contributions to the National Social Security Fund (NSSF) as a step toward the country’s financial security.
- 30 Apr 2025 - Hungary's Foreign Minister presented a bill to the National Assembly proposing Hungary's formal withdrawal from the ICC.
- 30 Apr 2025 - Suspects of different nationalities came together to defraud victims.
- 30 Apr 2025 - According to the University’s Vice Chancellor Prof Deogratius Jaganyi, the program dubbed as Africa meets Bavaria, is aimed at fostering a vibrant research culture among students.
- 30 Apr 2025 - Ruto congratulated Chitunga and assured him of government support.
- 30 Apr 2025 - Ruto's surprise appearance at the Vatican despite sending Wetangula caused a buzz online.
- 30 Apr 2025 - According to lawmakers, while the volume of money staked by punters has been steadily rising,reflected in a sharp increase in excise duty collections, taxes from winnings have paradoxically declined.