Mpango wa ujenzi wa uwanja mpya wa Man U kuanza rasmi

  • | BBC Swahili
    3,247 views
    Klabu ya Manchester United imetangaza mpango wa kujenga uwanja mkubwa zaidi nchini Uingereza, kuchukua nafasi ya ule unaotumika sasa wa Old Trafford. Uwanja huo mpya utachukua watu laki 1 huku ukitarajiwa kugharimu pauni bilioni 2.