Skip to main content
Skip to main content

Wanawake Laikipia wageukia ufugaji wa chenene kuimarisha lishe na kipato

  • | Citizen TV
    818 views
    Duration: 3:29
    Kundi la wanawake Katika Kaunti ya Laikipia limegeukia ufugaji wa chenene, sio tu kwa kujihakikishia mapato, bali pia kuimarisha utoshelevu wa chakula katika jamii. Wanawake hao wanatumia wadudu kuunda mfumo wa kilimo unaofanikisha kilimo mseto cha ufugaji wa kuku na ukuzaji wa mboga