30 Oct 2025 10:37 am | Citizen TV 391 views Duration: 1:24 Idara ya Uhamiaji imetoa hakikisho kuwa jamii ya Wapare kutoka eneo la mpakani la Taveta kaunti ya Taita Taveta wanapata vitambulisho vya kitaifa