Skip to main content
Skip to main content

Wasichana zaidi ya 1,500 wafunzwa mbinu za uongozi Kwale

  • | Citizen TV
    433 views
    Duration: 3:43
    Wasichana zaidi ya 1,500 katika kaunti ya Kwale wamepata mafunzo na hamasa ya kuvunja mipaka ya mila na desturi zinazowazuia kushiriki katika uongozi na maendeleo ya jamii. Kupitia mradi wa SHE LEADS ulionzashishwa mwaka wa 2021 wasichana hao aidha sasa wamekua kwenye mstari wa mbele kukabili changamoto zinazowakumba watoto wa kike zikiwemo mimba na ndoa za utotoni.