30 Oct 2025 1:46 pm | Citizen TV 514 views Duration: 1:54 Familia zaidi ya elfu sita katika kaunti ya Kirinyaga sasa zinapika kwa gesi , hali ambayo ni hatua kubwa katika kupunguza utegemezi wa kuni na makaa.