30 Oct 2025 1:49 pm | Citizen TV 885 views Duration: 1:41 Baadhi ya viongozi kutoka kaunti za Magharibi mwa Kenya, pamoja na Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, walizuru boma la hayati Raila Odinga ili kutoa heshima zao za mwisho.