30 Oct 2025 2:00 pm | Citizen TV 485 views Duration: 51s Timu ya Kenya ya unyanyuaji uzani kwa wachezaji wenye ulemavu wa macho imeendeleza kukusanya medali zaidi kwenye mchuano wa dunia unaoendelea nchini Uturuki.