Je, unajua madhara ya kujichubua ngozi?

  • | BBC Swahili
    867 views
    Zaidi ya robo tatu ya watu hutumia krimu za kujichubua ngozi nchini Nigeria. Ni taifa lenye matumizi makubwa zaidi ya bidhaa hizo barani Afrika, kwa mujibu wa Shirika la afya duniani. Lakini krimu hizi zina madhara gani? #bbcswahili #watoto#wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw