NCIC yatia saini mkataba na taasisi ya uchumi na amani

  • | KBC Video
    10 views

    Tume ya uwiano na mshikamano wa taifa imesaini mkataba wa ushirikiano na taasisi ya maswala ya kiuchumi na amani,kuandaa mikutano ya kumbuni kukuza mshikamano kati ya vizazi mbali mbali.Madhumuni ya kampeni hiyo ni kukuza mshikamano kati ya vizazi na kuwezesha jamii,kwa minajili ya umoja wa kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive