Watu saba wa familia waaga dunia baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani huko Mai Mahiu.

  • | K24 Video
    5 views

    Watu saba wa familia moja miongoni mwao watoto 3 wameaga dunia baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani huko mai mahiu. Familia hiyo iliangamia baada ya gari walimokuwa wakisafiria kugongana ana kwa ana na trela