"Ninaweza kukufanya milionea."
Mawakala wa ajira wanaowalaghai raia wa kigeni wanaoomba kazi katika sekta ya afya ya Uingereza wamefichuliwa kupitia uchunguzi wa siri wa BBC.
BBCAfricaEye imefuatilia kwa siri mawakala wadanganyifu wa masuala ya uhamiaji wanaochukua maelfu ya pauni kutoka kwa wahamiaji wanaotamani kupata kazi Uingereza.
Na kubaini mbinu za mawakala hawa, ikiwa ni pamoja na kuuza nafasi za kazi katika makampuni ya afya ya Uingereza kinyume cha sheria.
Wizara ya Mambo ya ndani ya Uingereza imekiri kuwa mfumo huu unakabiliwa na udanganyifu, lakini uchunguzi wetu umeonyesha jinsi mawakala hawa wanavyoweza kuwalaghai watu kwa urahisi, kuepuka kugundulika na kuendelea kunufaika kifedha.
Tazama video hii kwa urefu hapa hapa Youtube ya bbcswahili
#bbcswahili #uingereza #uhamiaji
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
17 Jun 2025
- The CJ has kept mum over the planned protests slated for next week.
17 Jun 2025
- Ojwang's death in police custody has attracted backlash from Kenyans who have come out to demand justice for the deceased.
17 Jun 2025
- The war between the two nations has been brewing for five days now.
17 Jun 2025
- Isiolo’s County Assembly Clerk, Salad Boru Guracha has cancelled a planned public participation sessions to debate the impeachment of Governor Abdi Guyo.
17 Jun 2025
- President William Ruto has signed the Anti-Money Laundering and Combating of Terrorism Financing Laws (Amendment) Bill, 2025 into law.
17 Jun 2025
- The Higher Education Loans Board (HELB) has announced that over Ksh.40 billion is still outstanding from loan defaulters who borrowed from last year to as far back as over two decades ago.
17 Jun 2025
- A federal judge said on Monday that she would issue a brief extension of an order temporarily blocking President Donald Trump's plan to bar foreign nationals from entering the U.S. to study at Harvard University while she decides whether to issue a…
17 Jun 2025
- Police have been forced to lob teargas at demonstrators gathering at various points across the CBD.
17 Jun 2025
- The six suicide incidents were reported between June 15 and 16, 2025.
17 Jun 2025
- Protesters are demanding justice for murdered teacher and influencer Albert Ojwang.
17 Jun 2025
- The CJ has kept mum over the planned protests slated for next week.
17 Jun 2025
- Ojwang's death in police custody has attracted backlash from Kenyans who have come out to demand justice for the deceased.
17 Jun 2025
- The war between the two nations has been brewing for five days now.