'Tunaishi kwa kazi hii ya kuimba na watoto tunasomesha'
Ulemavu umewanyima wengi fursa ya kuonesha ukubwa na ubora wa karama walizo jaaliwa, lakini kwa Daniel Maige na kundi lake ulemavu sio kikwazo, kwani licha ya kutoona wanatumia vipawa vyao vya muziki kutunga nyimbo na kupiga ala mbalimbali za muziki kwenye Barabara za Jiji la Dar es salaam.
Kwa Mara ya kwanza Daniel na wenzake walingia barabarani mwaka 2015 na tangu wakati huo hadi hii leo wanaendelea kuudhiirishia ulimwengu kuwa wamejaliwa karama za kipekee licha kukabiliana na changamoto mbalimbali kama vile usafiri, uchakavu wa vifaaa na hata kadhia ya kufurushwa na askari wa jiji baadhi ya maeneo.
Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds aliwatembelea na kuandaa tarifa ifuatayo.
#bbcswahili #tanzania #ulemavu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
17 Jun 2025
- The proposed changes are set to be discussed in the Senate before implementation.
16 Jun 2025
- The police constable who was first arrested in connection to Ojwang's death has spoken up.
16 Jun 2025
- The weatherman has also listed regions that are expected to experience cold temperatures.
17 Jun 2025
- The proposed changes are set to be discussed in the Senate before implementation.
17 Jun 2025
- Educating men on progressive masculinity is essential for changing mindsets and building equitable, gender-just societies.
17 Jun 2025
- Yesterday, June 16, 2025, was International Domestic Workers Day, set aside by the United Nations and observed globally to recognise the significant contribution of domestic workers to the economies of families, communities, nations and the world.…
17 Jun 2025
- According to Pastor John Njoroge from PISGHA Academy, the medical camp had come at the right time, as families were undergoing untold suffering.
17 Jun 2025
- Kenya’s top paralympic athletes could feature at this month’s National Athletics Championship after the Kenya National Paralympic Committee (KNPC) formally petitioned Athletics Kenya (AK) to include them in the three-day competition slated for June 26-…
17 Jun 2025
- Court rules ungazetted school levies illegal in win for parents
17 Jun 2025
- Farmers protest compensation for wildlife damage
17 Jun 2025
- Power wrangles rock Kaimosi Friends University over VC job
17 Jun 2025
- Who benefits from CBK's low lending rates?
17 Jun 2025
- Firm opposes DPP plan to withdraw Sh918m case against businessman