Juhudi za kutafuta amani Sudan Kusini, katika Dira ya Dunia TV
Ujumbe wa ngazi ya juu wa Umoja wa Afrika umefika nchini Sudan Kusini kwa lengo la kufanya mazungumzo ya kuzuia kuzuka upya kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mpango huo unafuatia kuzuiliwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar, ambaye ameshutumiwa na serikali ya Rais Salva Kiir kwa kujaribu kuchochea uasi-madai yanayohusishwa na mapigano ya hivi karibuni katika jimbo la Upper Nile. Mapema hii leo, Rais wa Uganda Yoweri Museveni alikutana na Rais Kiir Juba. Maelezo mahususi ya majadiliano hayo hayajawekwa wazi, lakini yale yanayoendelea nchini Sudan Kusini yameibua wasiwasi kuhusu uthabiti wa mkataba wa amani uliotiwa saini mwaka 2018.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
7 Aug 2025
- Police are expected to adhere to the directive within the next seven days.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Eric Mutai has called for the 'dissolution' of the county.
7 Aug 2025
- The proposal to outlaw boda bodas came from one of Ruto's top advisers.
7 Aug 2025
- The United Nations is set to expand its base in Kenya as Agencies, Funds and Programmes relocate some of their regional and global operations to Kenya.
7 Aug 2025
- President William Ruto has mourned the loss of eight Ghanaian nationals who were involved in a military helicopter crash.
7 Aug 2025
- President William Ruto has mourned the loss of eight Ghanaian nationals who were involved in a military helicopter crash.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Police are expected to adhere to the directive within the next seven days.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Eric Mutai has called for the 'dissolution' of the county.
7 Aug 2025
- The proposal to outlaw boda bodas came from one of Ruto's top advisers.
7 Aug 2025
- New user registrations for the platforms rose by 10,440 to reach 41,265.
7 Aug 2025
- His latest pronouncement comes amid public concerns.
7 Aug 2025
- President Ruto stated that boda boda operators are legitimate entrepreneurs whose businesses must be supported.