31 Oct 2025 1:26 pm | Citizen TV 1,402 views Duration: 1:43 Gari la polisi lililokuwa likiendeshwa kwa kasi liligongana na pikipiki na kumuua mwendeshaji bodaboda hiyo papo hapo , katika eneo la Kasoiyo Junction, kwenye barabara ya Kabarnet kwenda Marigat.