Skip to main content
Skip to main content

Msongamano wa magari wa saa 20 washuhudiwa Nakuru

  • | Citizen TV
    3,117 views
    Duration: 2:41
    Msongamano wa magari ulishuhudiwa kwa zaidi ya saa ishirini kwenye barabara kuu ya nakuru kuelekea eldoret. Msongamano huo ulienea kutoka eneo la sobea, mau- summit hadi timboroa. Maafisa wa usalama wanasema kuwa msongoamano huo ulichangiwa na gari moja kuharibikia barabarani. Na kama anavyoarifu maryanne nyambura, wasafiri waliolala barabarani wanasimulia mahangaiko yao.