1 Nov 2025 8:14 pm | Citizen TV 930 views Duration: 1:22 Familia ya Caroline Mokeira, mama wa watoto watatu kutoka Kitale, aliyetoweka wiki mbili zilizopita inaitaka polisi kuharakisha uchunguzi ili kuvumbua kitendawili kuhusu aliko binti yao.