- 6,073 viewsDuration: 3:35Maelfu ya waombolezaji wamekuwa wakiwasili katika eneo la Kang’o Ka Jaramogi, huko Bondo alikozikwa hayati Raila Amolo Odinga ili kutoa heshima zao. Watu kutoka maeneo tofauti nchini na nje ya nchi wakifika kila siku kuomboleza na familia.