- 13,025 viewsDuration: 1:32Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua amewashutumu viongozi kutoka Mlima Kenya wanaomuunga mkono Rais William Ruto, akisema wanasaliti jamii yao. Gachagua anadai kwamba viongozi hao wamekaa kimya wakati matusi yakielekezwa kwa viongozi wa upinzani kutoka eneo la Kati. Na huko Kilifi, Kiongozi wa chama cha PLP, Martha Karua, ameendelea kukosoa uchaguzi na uongozi wa Tanzania, akidai kuwa udikteta unazidi kukithiri Afrika Mashariki.