- 19,999 viewsPapa Francis jina lake kamili ni Jorge Mario Bergoglio, alikuwa Kardinali wa Argentina, na alikuwa na umri wa miaka sabini alipokuwa Papa mwaka 2013. Alikuwa Papa wa kwanza kutoka Amerika na kutoka Ulimwengu wa Kusini. Alimrithi Benedict XVI, ambaye alikuwa Papa wa kwanza kustaafu kwa hiari baada ya takribani miaka 600. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Duniani amefariki dunia Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka 88 katika makazi yake ya Casa Santa Marta, Vatican. Haya ni baadhi ya aliyoyanya kimataifa tangu alipokuwa Papa 2013 #bbcswahili #roma #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Francis: Papa kutoka Amerika ya Kusini ambaye alilibadilisha Kanisa Katoliki
- - Duniani Leo ››
- 11 Aug 2025 - Over the last week, three MSS officers lost their lives.
- 11 Aug 2025 - 28 years in bed: Naomi's relentless fight for dignity
- 11 Aug 2025 - Why Nairobi Hospital is in battle for survival
- 11 Aug 2025 - Like Jomo Kenyatta and Kwame Nkrumah, 'saviour' Ruto has disappointed
- 11 Aug 2025 - Devolution system's good, bad and ugly 12 years later
- 11 Aug 2025 - Gachagua, Ruto and Uhuru face crucial Mt Kenya by-election test
- 11 Aug 2025 - Wild cheers, wild bites: Football meets game meat in Dar es Salaam
- 11 Aug 2025 - Nearly three years into President William Ruto's administration, many of his promises appear to be caught in a loop of disruption, chaos, and last-minute damage control.
- 11 Aug 2025 - Elevated prolactin during pregnancy can reduce intimacy.
- 11 Aug 2025 - State moots plan to secure 20pc stake in high-risk industries