MAZISHI YA PAPA FRANCIS KUFANYIKA JUMAMOSI VATICAN

  • | K24 Video
    1,223 views

    Mazishi ya Papa Francis yatafanyika Jumamosi saa nne asubuhi nje ya Kanisa la St. Peter’s Basilica. Makardinali wamekubaliana kufuata usia wa Papa kuhusu namna ya kuendesha mazishi hayo. Viongozi wa mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria, huku umma ukipewa nafasi ya kuuaga mwili wake kuanzia kesho, Jumatano.