Skip to main content
Skip to main content

Watu wadanganywa kwenye utapeli wa usajili wa SHA

  • | Citizen TV
    909 views
    Duration: 2:38
    Visa zaidi vya ulaghai wa watu waliojidai kuwa maafisa wa bima ya Afya ya SHA vimeendelea kuripotiwa huku watu wawili zaidi katika eneo la Subukia kaunti ya Nakuru wakisimulia masaibu yao. Lucy Gikonyo na Ezekiel Mwangi wakiwa wa punde kuripoti kupoteza maelfu kwa kuahidiwa kwa usajili wa bima ya SHA.