- 2,560 viewsDuration: 2:40Waziri wa Elimu Migos Ogamba amewataka wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu kukubali malipo yao kwa awamu mbili ili kurejelea masomo vyuoni. Waziri Ogamba akisema hatua hii inaonyesha ari ya serikali kulipa pesa walizoafikia walizoafikiana. Na kama francis mtalaki anavyoarifu, wanafunzi wameendelea kusimulia namna mgomo huu wa siku 50 unavyowaathiri.