Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wawili walisimulia dhiki baada ya kukamatwa na Al-Shabaab miezi 19

  • | Citizen TV
    17,384 views
    Duration: 3:16
    Wakenya wawili waliotekwa nyara na kusalia mikononi mwa magaidi wa Al Shabab kwa miezi 19, sasa wanaitaka serikali kuwafidia. Miaka 12 baada ya kuachiliwa, Yesse Mule na Fredrick Wainaina walitekwa nyara mwaka wa 2012 wanasimulia mateso waliyopitia nchini Somalia.