Kamati ya Seneti ya uwekezaji imetaka serikali kutoendelea kuchelewesha mgao

  • | Citizen TV
    69 views

    Kamati ya seneti kuhusu uwekezaji wa umma katika serikali za kaunti na hazina maalum imetaka serikali kuu kuhakikisha utoaji wa mgao wa fedha kwa serikali za kaunti unafanyika bila ya kuchelewa