"Sisi tunaimarisha ulinzi kwa wote bila ubaguzi"

  • | BBC Swahili
    7,300 views
    "Tumepata simu nyingi za pongezi kutoka maeneo mbalimbali, watu wa Kitunda, Mwanagati wanatoka wanafurahia polisi, labda hapo unapoongelea ndio wanamtazamo tofauti" Kufuatia madai ya Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kusema kuwa makazi ya viongozi wake, John Heche na Tundu Lissu, yalizingirwa na polisi wenye silaha alfajiri ya Aprili 28. Mwandishi wa BBC @regina_mziwanda amezungumza na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, na kutolea maelezo madai hayo #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw