Boti yaruka angani ziwani
Tazama boti iliyokuwa kwenye mwendo kasi ilivyoruka angani kwa kasi ya 200mph kabla ya kutua chini katika Ziwa Havasu City, Arizona, Marekani.
Tukio hilo lilitokea wakati wa onesho la mashindano ya boti, huku watu wawili waliokuwa kwenye boti hiyo wakijaribu kuweka rekodi mpya ya kuendesha kwa kasi kwenye ziwa hilo. Walipata majeraha madogo tu.
#bbcswahili #marekani #ajali
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
11 Aug 2025
- Over the last week, three MSS officers lost their lives.
10 Aug 2025
- Kenyans have been urged to report hospitals charging for certain SHA services.
10 Aug 2025
- The chief officer for environment will seek reinforcement from thousands of workers.
11 Aug 2025
- Shortly after the strike, the IDF confirmed that it had targeted Anas al-Sharif, who "served as the head of a terrorist cell in Hamas".
11 Aug 2025
- The video widely shared on TikTok claims that the ’23-year-old’ was attacked during a performance.
11 Aug 2025
- Among those killed was the bride-to-be, Jackline Kasau, 42.
11 Aug 2025
- Over the last week, three MSS officers lost their lives.
11 Aug 2025
- Why Nairobi Hospital is in battle for survival
11 Aug 2025
- 28 years in bed: Naomi's relentless fight for dignity
11 Aug 2025
- Devolution system's good, bad and ugly 12 years later
11 Aug 2025
- Like Jomo Kenyatta and Kwame Nkrumah, 'saviour' Ruto has disappointed
11 Aug 2025
- Gachagua, Ruto and Uhuru face crucial Mt Kenya by-election test
11 Aug 2025
- Wild cheers, wild bites: Football meets game meat in Dar es Salaam