Safari ya kumchagua Papa mpya

  • | BBC Swahili
    4,244 views
    Papa mpya atachaguliwa hivi karibuni… lakini safari hii, ni ngumu kutabiri mshindi na huenda ikawa mojawapo ya mashindano ya Upapa yasiyotabirika zaidi katika historia ya kanisa Katoliki. Kwa nini…? mwandishi wetu @AntonyIrungu ambaye yuko Vatican ametuandalia habari hii #bbcswahili #vatikani #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw