Viongozi wa Homa Bay wakagua uwanja utakaotumika siku ya Madaraka

  • | Citizen TV
    435 views

    Viongozi kutoka kaunti ya Homa bay wamethibitisha kuwa matayarisho ya kuandaa sherehe za mwaka huu za siku kuu ya madaraka yanaendelea vyema.