Wazee wa Kaya wakerwa na mpango wa kuchimba madini ,Kaya Mrima

  • | Citizen TV
    73 views

    Wazee wa Kaya pamoja na wanaotumia miti ya kiasili kwa dawa za kienyeji katika eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale, wanahofia kupoteza mila zao iwapo uchimbaji madini utafanyika katika msitu wa Kaya Mrima.