Uhusiano wa Kenya na China

  • | Citizen TV
    261 views

    Kenya na Uchina zimeazimia kuimarisha ushirikiano wao wa muda mrefu. Ziara ya hivi majuzi ya Rais William Ruto mjini Beijing imesababisha mfululizo wa makubaliano ya ngazi ya juu yenye lengo la kuimarisha miundombinu, biashara na ushirikiano wa kidiplomasia.