'Nilinishambulia sana mtandaoni kisa nimeolewa na mzee'

  • | BBC Swahili
    186 views
    Mwaka 2022, Doreen Kimbi kutoka Tanzania alifunga ndoa na Mume wake Agustino Lwatonga Mrema aliyekua Mwanasiasa Mkongwe Nchini Tanzania Ndoa hii ilizua Gumzo hasa mitandaoni kwani Kiongozi huyo alikua amemzidi miaka 40, Hili liliwezekanaje kwake? Nini hasa kilichomvutia kwa Mzee huyo aliyekua mume wake? Amezungumza na @scolar_kisanga, Pia unaweza kutazama mahojiano haya kwa urefu zaidia kwenye ukurasa wa Youtube wa BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw