Vikosi vya SADC vyaondoka rasmi DRC

  • | BBC Swahili
    6,179 views
    Misheni ya SAMIDRC iliyokuwa inaendeshwa na vikosi vya SADC inakamilika kwa kuondoka kwa majeshi ya SADC kutoka Goma kupitia Rwanda. Haya yanajiri wakati ambapo wanajeshi wa FARDC waliotafuta hifadhi katika kituo cha Umoja wa Mataifa huko Goma wakihamishiwa Kinshasa. Hatua hii itaathiri vipi amani ya mashariki mwa DRC? Hamida Abubakar ana maelezo zaidi katika Dira ya Dunia TV saa 3 usiku, mubashara kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #dirayadunia #dirayaduniatv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw