DRC itakuwa salama baada ya vikosi vya SADC kuondoka? Katika Dira Ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    1,234 views
    Misheni ya kudumisha amani mashariki mwa DRC ya SAMIDRC imekamilika rasmi kufuatia kuondoka kwa vikosi vya kijeshi vya jumuiya ya kimaendeleo ya mataifa ya Kusini mwa Afrika SADC.  Taifa jirani la Rwanda limewakubalia wanajeshi hao kutoka Afrika Kusini, Tanzania na Malawi kuondoka mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kupitia mpaka wake wa Gisenyi.