Nchi Maskini zaidi baran Afrika

  • | BBC Swahili
    7,434 views
    Sasa ni sehemu ya nchi Maskini Afrika. Hii ni orodha ya mataifa 5 maskini zaidi barani Afrika kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa Shirika la Fedha Duniani IMF Changamoto za kiuchumi, ukosefu wa utulivu wa kisiasa na migogoro vimeathiri mataifa haya. Baada ya kuelezea mataifa matano tajiri Afrika, sasa @scolar_kisanga anakuletea tena mataifa 5 maskini - Je nchi yako imeorodheshwa upande upi? 🎥: @brianmala #bbcswahili #imf #afrika